Mwigizaji Jackline Wolper Ajipachika Tattoo Nyingine Mwilini Mwake, Safari hii Aweka Kwenye...... - MULO ENTERTAINER

Latest

4 Feb 2015

Mwigizaji Jackline Wolper Ajipachika Tattoo Nyingine Mwilini Mwake, Safari hii Aweka Kwenye......

Mrembo na Mwigizaji Maarufu wa Bongo Movies Jackline Wolper Amejiongezea Tattoo Nyingine Katika Mwili wake, Tattoo hiyo aliyoandika Maneno haya "Life Goes on" Ameiandika katika
mkono wake wa Kulia kama inavyoonyesha kwenye PichaL: