Mwigizaji Van Vicker Kutoka Ghana Amzimikia Lulu Michael, Ampost Kwenye Page yake na Kutupia Haya>> - MULO ENTERTAINER

Latest

6 Feb 2015

Mwigizaji Van Vicker Kutoka Ghana Amzimikia Lulu Michael, Ampost Kwenye Page yake na Kutupia Haya>>


Udaku Special Blog: Mwigizaji Maarufu Barani Afrika Van Vicker Kutoka Ghana Jana kwenye Page ya Instragram Alipost Picha Akiwa amepiga na Mrembo mwigizaji Lulu Michael Kama Ishara ya Kumkumbuka na Kumzimikia ...Katika Picha hiyo aliandika Maneno haya :



My 1st ever throwBackThrusday post... with @officiallulumichael I remember some of my Tanzania peeps at this point shouts to @wemasepetu @irenepaul001 @petitman_wakuache @ramseyhashim- Van Vicker aliandika kama aelezo ya picha hiyo juu.