Zitto Amefunguka Maneno mazito kwenye ukurasa wake wa Facebook Kuhusu Wizi wa Kompyuta ya Kamishna wa TRA....
'Kompyuta ya Kamishna Mkuu TRA imeibiwa na wezi waliovunja Ofisi. Gazeti la Mwananchi limeandika leo. Leo hiyo hiyo Ikulu imetoa taarifa kuwa Kaimu Naibu Kamishna wa TRA ndg. Maswi amerejeshwa Manyara baada ya kumaliza kazi maalumu aliyotumwa TRA. Hizi ni sarakasi. Hizi ni drama. Serikali haiendeshwi kwa drama' Zitto