Tanzia: Baba Mzazi wa Mwanamuziki Dully Sykes Mzee Sykes Afariki Dunia - MULO ENTERTAINER

Latest

16 Feb 2015

Tanzia: Baba Mzazi wa Mwanamuziki Dully Sykes Mzee Sykes Afariki Dunia

Baba mzazi wa mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Dully Sykes, Mzee Sykes amefariki dunia leo akiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili, jijini Dar es Salaam. Udaku Special Blog inatoa pole kwa Dully Sykes na familia nzima ya Mzee Sykes kwa msiba huu mzito. Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe!