Snura Afunguka Kuhusu Shilole Kumchapa Vibao Nuhu Mziwanda ' Tusimuonee Huruma' - MULO ENTERTAINER

Latest

8 Mar 2015

Snura Afunguka Kuhusu Shilole Kumchapa Vibao Nuhu Mziwanda ' Tusimuonee Huruma'

Mziwanda wala tusimuonee huruma. Inaonesha kweli anapenda kupigwa kama Snura anavyosema! mnafanya kazi bure kuwashauri. Hapo kitakochotokea Mziwanda anajiharibia kazi yake, lets be honest hivi anavyopigwa pigwa hovyo kuna mwanaume atasikiliza au kuangalia nyimbo zake? Noo make watasema "yule fala tu mwanaume gani anapigwa na mpenzi wake?" Halafu kwa wasichana watasikiliza nyimbo zake vile tu kana sura nzuri si unajua sie wadada tunavutiwa na vitu vidogo tu!! Halafu Mziwanda nahisi anadhani akimuacha Shilole ndo amekwisha kimuziki itabidi ang'ang'anie hapo hapo.... Mpaka atakapochukua maamuzi kama mwanaume akajitambua ndo watu wote wataikubali kazi yake..lkn sasa hapana! ..

Ni Maneno ya Mwanamuziki Snura wa Majanga....Je Unakubaliana nae ?