Staili Mpya ya Nywele ya Wema Sepetu yawa Gumzo Mtandaoni..Wengi Wamsifia Wachache Wasema Haya - MULO ENTERTAINER

Latest

8 Mar 2015

Staili Mpya ya Nywele ya Wema Sepetu yawa Gumzo Mtandaoni..Wengi Wamsifia Wachache Wasema Haya


 Picha za Wema Mpya Alizoweka Jana kwenye Mtandao wa Instagram Akiwa arusha na Mashabiki wake zimezua Mjadala huko Instagram Huku wengi wakimsifia kwa jinsi alivyopendeza na mkata huo wa nguvu baadhi ya wachache ambao inaaminika ni mashabiki wa Zari walitoa maoni yao na kusema kumbe hata wema hana nywele za mbele kama Zari ...ikumbukwe kipindi cha nyuma Team Wema Sepetu Walikuwa wakimkejeli Zari kuwa anakipara .....