Wimbo Mpya wa Ali Kiba Wazidi Kuwapagawisha Wadada..Mwingine Naye Atuma Video Akayakata Mauno Balaa - MULO ENTERTAINER

Latest

10 Mar 2015

Wimbo Mpya wa Ali Kiba Wazidi Kuwapagawisha Wadada..Mwingine Naye Atuma Video Akayakata Mauno Balaa

Baada ya Kupokea Video ya Kwanza kutoka kwa Mdada mmoja akisakata Ngoma ya Ali Kiba inayoitwa Chekechua ,Dada mwingine naye ametuma video akiyazungusha mauno kuzidi feni ..Huyu ameonyesha kabisa na sura yake ....
Angalia Video Hapa Chini ujionee kiuno Kama Feni Kinavyozungushwa: