Kumbe mimba ya Lotus Kyamba wa Nirvana.....Kapewa na Roma Mkatoliki? - MULO ENTERTAINER

Latest

30 Apr 2015

Kumbe mimba ya Lotus Kyamba wa Nirvana.....Kapewa na Roma Mkatoliki?

LOTUS KYAMBA kathibitisha kupitia kipindi chake cha Nirvana kwamba mimba aliyonayo msababishaji ni mwanahiphop Roma Mkatoliki na anampenda sana. Big up Roma kwa kutarajia kuongeza kiumbe kingine, but vipi kuhusu yule bibie uliyekuwa unamrusha sana fb umempiga chini au?