Mke wa Hussein Machozi Aibuka na Kusema Haya Baada ya HUSSEIN MACHOZI Kusema Hakuwahi Kuoa Huko Mombasa - MULO ENTERTAINER

Latest

28 Apr 2015

Mke wa Hussein Machozi Aibuka na Kusema Haya Baada ya HUSSEIN MACHOZI Kusema Hakuwahi Kuoa Huko Mombasa

Yule dada aliyedai kufunga ndoa na Hussein Machozi ameibuka na kusema haya Maneno kwa Uchungu baada ya Hussein Machozi Kudai Anatafuta Kick na si kweli kwamba walifungua ndoa :

"Hey jameni hebu msinidhalilishe. mimi ndie mke wa Hussein. nasidhani nikwanini niseme nilifunga ndoa ya kiislam kama niuongo.mimi namuogopa sana Mungu. Ndoa nikitu ambacho nibaraka.
mume wangu amenidhalilisha kisa chakufanya hivyo sikijui. ila mm niko thayari kama akisema aniacha i will say fine. cause haina haja kua na mtu anaekukana ama anaekana Ndoa. Yamenisikithisha sana haya maneno. na kwaujumbe wenu yeye hakuthoroka ndoa. Bali mm ndie nnaeishi nje ya Africa. so yy alirudi kwao tu baada ya muda mrefu kua kenya mm nlipomuacha huko. ulizeni pande zothe mbili kabla kuandika haya maneno ati mwanamk athafutha kiki. kiki gani nithafuthe africa? Nimwaka gani tulifunga ndoa kama ni kiki mbona sikuithafutha wakathi huo? Muogope Mungu mumewangu. Usikufuru. ila kama ndoa inkushinda iepuke usiikane. duniani utaikana , je mbele yaa Mungu pia waezaikana nakuniita mm huyo mwanamke wakimombasa?
Am sorry realy. mm sina shida yakukimbilia mtu. Namshkuru Mungu Alhamdhulillah"

Hiyo meseji imeandikwa Hapa :http://www.udakuspecially.com/2015/04/husein-machozi-mimi-sijaoa-bado.html