Hii ni CCM nyingine. Safari hii wamebanwa kila kona,hasa baada ya Edo kwenda nyumba ya jirani. Kati ya mikakati yao kushinda uchaguzi wa Rais ni kumpiga msasa mgombea wao kwa midahalo ya wazi. J.K alizuiwa kushiriki mdahalo wowote kwa awamu zote mbili. Mr. Ben Mkapa ndiye mgombea pekee wa CCM aliyeshiriki mdahalo wa kupambanishwa na wenzake 1995, na alifanya vizuri Sana. Mwalimu Magufuli anapewa tuition kwenye maeneo mbalimbali,hasa masuala ya kimataifa,pia utimamu wa mwili.
UKAWA wamemwandaaje mgombea wao kwenye mpambano huo.
UKAWA wamemwandaaje mgombea wao kwenye mpambano huo.