Naima wa Aslay Ndani ya Penzi Zito na Kipa wa Simba Manyika JR ..Adaiwa Kumshusha Kiwango cha Mpira Awapo Uwanjani - MULO ENTERTAINER

Latest

21 Apr 2015

Naima wa Aslay Ndani ya Penzi Zito na Kipa wa Simba Manyika JR ..Adaiwa Kumshusha Kiwango cha Mpira Awapo Uwanjani

Baada ya Kumalizana na Dogo Aslay wa ya Moto Band Mrembo Naima ambae haishiwi Skendo amehamia kwa Kipa wa Simba anaitwa Manyika JR , Wawili hao kwa sasa wanagandana kama kumbi kumbi mpaka mashabiki wa Simba wamemshutumu manyika JR kushuka Kiwango cha Kudaka moaka kusababisha Simba Kufungwa bao 2 na Mbeya City Week iliyopita..

Naima Alikuwa mapenzini na Dogo Aslay mpaka Kufikia Kujichora Tattoo ya Jina la Aslay kama invyoonyesha kwenye Picha hapo juuu
Picha ya Naima na Manyika wakiwa Kitandani wakifanya yao