Nasema Nawe: Hakuna Msanii Anayeweza Kuimba Mduara Kama Mimi Mjipange Upya– AT - MULO ENTERTAINER

Latest

21 Apr 2015

Nasema Nawe: Hakuna Msanii Anayeweza Kuimba Mduara Kama Mimi Mjipange Upya– AT

Msanii wa Bongo Flava na muziki wa Mduara kutoka visiwani Zanzibar, AT anaamini hakuna msanii Tanzania anayeweza kufanya mduara kama yeye!

Kupitia Instagram, AT amesema, “Nasema hivi hakuna Msanii atatokea kupita njia nnayopita kakika kuimba Mduara wala Hakuna video Ya Mduara itakayofunika Sijazoea kwa ubora wa Pc na Muonekano wa uzuri hii wiki ndio ntaifyatua Hewani Mjipange upya.

Unahisi AT ‘Anasema’ na Diamond?