Huyu Ndio Mfalme wa Wazulu Aliyeagiza Waafrika Ambao Sio Wasauz Wapigwe - MULO ENTERTAINER

Latest

21 Apr 2015

Huyu Ndio Mfalme wa Wazulu Aliyeagiza Waafrika Ambao Sio Wasauz Wapigwe

Huyu jamaa Mfalme wa Wazulu nchini Afrika ya Kusini,ndiye aliyeagiza waafrika toka nje ya Afrika Kusini wauawe.
Ati kisingizio watu wa Afrika Kusini hawana kazi na kazi zao zinachukuliwa na wageni.
Kwa wanaoikumbuka vizuri historia ya mapambano Afrika Kusini, Kabila la wazulu hawakushiriki kikamilifu katika vita ya ukombozi.

Chief wao maarufu anayejulikana Chief Mangosuthu Buthelezi alikuwa anajikomba sana kwa utawala wa makaburu, na baada ya uhuru ni kama amesahaulika kabisa.
Chief huyu alianzisha chama kinaitwa Inkatha Freedom Party, lakini hakikupata umaarufu wowote maana kilikuwa cha kikabila sana.
Watanzania tuwe macho.