Huddah Monroe Apagawishwa na Mtoto wa Mahita Mpaka Ashindwa Kuhudhuria Party ya Zari All White Party - MULO ENTERTAINER

Latest

6 May 2015

Huddah Monroe Apagawishwa na Mtoto wa Mahita Mpaka Ashindwa Kuhudhuria Party ya Zari All White Party

Kama unakumbuka mmoja wa Wageni wa Party ya Zari all White Party pale mlimani City alikuwa pia Mrembo Huddah Monroe , Lakini Pamoja na Kuweka picha kwenye Instagram Akiwa Ameshatua Bongo kwa Party hiyo akiwa hotelini pale Hyatt zamani Kempinski Mrembo huyo hakuweza hudhuria hiyo Party ..

Sasa ubuyu uliopo mtaani ni kuwa sababu za yeye kushindwa kuhudhuria party hiyo ni mtoto wa Mahita  a.ka Tajiri mutoto, inasemekana walikutana pale Hotelini na kuanza kupagawishana na kusahau kila kitu ..Mwendelezo wa hao wawili ulihamia kwenye visiwa vya Zanzibar kama Picha zinavyoonyesha hapa chini kwenye picha ambapo kila mmoja alikuwa akipost picha wakiwa kwenye Boti..ukiangalia kwa makini hilo ni Boti Moja Japo Hawakupiga Picha ya Pamoja...