Wadau Wamkalia Kooni Matokeo ya Paula Wamtaka Kajala Ayaanike Matokeo - MULO ENTERTAINER

Latest

25 Jan 2019

Wadau Wamkalia Kooni Matokeo ya Paula Wamtaka Kajala Ayaanike Matokeo

Wadau Wamkalia Kooni Matokeo ya Paula Wamtaka Kajala Ayaanike Wamtaka
January 24 , matokeo ya kidato cha nne yalitoka na kuibua hisia tofauti kwa watu kutokana na kwamba watoto wengi waliakuwa wakitegema amvuno ya kle wakicgokipanda shuleni kufanikiwa.katika mitandao ya kijamii imezua sura mpya baada ya msanii monalisa kuonekana mwenye furaha sana baada ya mtoto wake wa kwanza wa kike sonia kuondoka na division one tne aya A ya hesabu.

Lakini swala hili linazidi kuwa kubwa na kuzua maneno kwa sababu pia mtoto wa msanii wa bongo fleva kajala masanja anaejulikana kama paula pia amemaliza mwaka aliomaliza mtoto wa mona lisa na inasemekana kuwa walisoma shule moja.


Kama ilivyokuwa kwa monalisa na wazazi wengine kuwa na furaha na kuyatangaza matokea ya watoto wao, hii imekuwa tofauti kwa kajala kwa sababu hajasema chochote ilhali siku ya mahafali aliweka picha za kusherekea huko.

Basi kila mtu amekuwa akiongea lake hku page za udaku yakitafuta kwa hali na mali matokeo hayo ili kuyaweka hadharani.