Wolper Ampongeza Aunty kwa Kuwaacha Matajiri na Kufuata Kiuno cha Moses Iyobo - MULO ENTERTAINER

Latest

31 May 2015

Wolper Ampongeza Aunty kwa Kuwaacha Matajiri na Kufuata Kiuno cha Moses Iyobo

Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper amefunguka na kumpogeza staa mwenzake Aunt Ezekiel ambaye amezaa na mcheza dansi, Moses Iyobo kwa kuamua kuwaacha matariji na kuamua kuzaa na mcheza dansi huyo.

Penzi la Aunt Ezekiel na Moses Iyobo limekuwa likitazamwa kwamitazamo tofauti tofauti hasa miongoni mwa mashabiki huko mitandaoni, Wolper amevunja ukimya na kuanddika haya kwenye ukurasa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu.

Kiukweli na hamu yakulishwa keki kama kwenye hii picha hapo huduma hzii zinapatikana wapi?? au paka upendwe kama huyu dada lol.. kikubwa ni mapenzi ya kweli sasa mkiwa mnapiga porojo ooh viuni sijui kunengua hayo ni maneno tuu ata kwenye khanga yapo sasa ukiwa gwijii wamaneno kamaa kina sisi hapa ndo kwanza zile kelele zinakua kma instrument huku blues inaendelea kma hvii Maneno yote nimeongea kwa sababu ya kina  baba insta, mamainsta, paroko insta, masheeh insta  wachungaji insta, washauri inatsta na wazazi wainsta .

Wolper akaendelea;

Huyu dada now yupo happy na ana amani ya moyo nayo ni hii hapa ukiona mtu kaacha matajiri wote kafwata kiuno basi hcho ndo kinachomfaa .hongera sana mama coukie na baba coukie shem langu mose iyogo kwa kupata bint Mungu awasimamia kwakila jambo asikwambie mtu akuna asiyependa kuwa na chake vyauwizi navyo vinachosha mtu chake sokoni anakua ndo pochi outing anakuwa ndo kiatu kitandani ndo usiseme anakua shuka kabisa  hlw fans i love uu & Tanzani iz country, jumamosi njema.