DIAMOND: Nitaudhihirishia Ulimwengu Afrika Mashariki Kuna zaidi ya Wasanii - MULO ENTERTAINER

Latest

24 Oct 2016

DIAMOND: Nitaudhihirishia Ulimwengu Afrika Mashariki Kuna zaidi ya Wasanii

Diamond Platnumz yupo kwenye mission – ya kuuonesha ulimwengu kuwa Afrika Mashariki si ya mchezo mchezo kwenye muziki.

Akipost picha akifanya rehearsal na dancers wake kwenye ukumbi wa Ticket Pro jijini Johannesburg patakapofanyika tuzo hizo, Diamond ameandika, “Tafadhali sana ndugu zangu naomba kesho msikose kutazama tunzo za MTVMAMA…. kijana wenu nimepanga kuwadhihilishia Ulimwengu Kuwa Africa Mashariki kuna zaidi ya Wasanii