Menejiment ya Ali Kiba, yaiba Nyimbo za Diamond na kuziuza iTunes..Meneja wa Diamond Platnumz Awachoma iTunes - MULO ENTERTAINER

Latest

24 Jun 2015

Menejiment ya Ali Kiba, yaiba Nyimbo za Diamond na kuziuza iTunes..Meneja wa Diamond Platnumz Awachoma iTunes

Wakuu nimeona instagram meneja wa Diamond anaeitwa Salaam akilalamika wizi unaofanywa na menejiment ya King Kiba kuuza nyimbo za Diamond kwenye mtandao wa iTunes bila makubaliano yoyote.

Rockstar ndio kampuni inayomsimamia Kiba na ndio inauza nyimbo za Diamond kwa wizi.



@iTunes the company below as #Rockstar4000 
who act as they have license to sell the songs
of my artist diamond platnumz on @iTunes they
are THIEVES. They don't have any contract or
any relationship with us this is Unacceptable to
let companies sell
contents of the Artists without any agreement
both sides. PLEASE
REPOST Wizi kwa Wasanii wetu HAUKUBALIKI.
Naomba hii Kampuni
ya Rockstar4000 iachane na Wizi wake wa kuuza
kazi za @ diamondplatnumz hatuna makubaliano
yoyote na kampuni yako kuuza Nyimbo za
diamondplatnumz Tutakutana Mahakamani.
Uvumilivu umetushinda.