Mtangazaji wa Clouds Adai Aliwahi Kujipatia Fedha Akijidai yeye ni Mwanamuzi MB DOG - MULO ENTERTAINER

Latest

12 Jun 2015

Mtangazaji wa Clouds Adai Aliwahi Kujipatia Fedha Akijidai yeye ni Mwanamuzi MB DOG

James Tupa Tupa
Mtangazaji Chipukizi wa Michezo wa Cloudz FM/TV ajulikanae kama James Tupa Tupa Amedai enzi zake amewahi kujipatia Fedha kwa kuwadanganya watu yeye ni Mwanamuziki MB Dog..

Akiongea leo asubuhi kwenye kipindi cha Clouds 360 amedai kwa mara ya kwanza kushika pesa kiasi kikubwa ilikuwa ni laki mbili na aliipata baada ya Kupiga Bonge la Show Ajidai yeye ni MB Dog..Amedai enzi hizo hapakuwa na mitandao ya kijamii hivyo ilikuwa ni ngumu watu kujua sura za wasanii so ilikuwa rahisi kudanganya watu tofauti na sasa ambapo mitandao ya kijamii inafanya watu kuwajua wasanii kirahisi....

MB Dog Kadai chako Bana...