Ujumbe: Kama Wewe ni Kijana, Monalisa Ana Hili Kwa Ajili Yako - MULO ENTERTAINER

Latest

21 Jun 2015

Ujumbe: Kama Wewe ni Kijana, Monalisa Ana Hili Kwa Ajili Yako

"Kijana,ichunge sana LEO yako.Hujui kESHO utafanya nini au utakuwa nani.KESHO itakapofika watu watakuhukumu kwa JANA yako ambayo ni LEO.Chunga sana LEO yako ndio inayokutengenezea KESHO yako." YVONNE CHERRIE
Roho yangu imenisukuma tu kukuandikia ujumbe huu..pengine nitaokoa LEO ya mtu fulani..Kila la kheri

Monalisa on Instagram