Winger mpya wa Man United ajiweka karibu na ex wa Chris Brown, Karrueche Tran - MULO ENTERTAINER

Latest

21 Jun 2015

Winger mpya wa Man United ajiweka karibu na ex wa Chris Brown, Karrueche Tran

Memphis Depay si jina geni hasa kwa mashabiki wa klabu ya Manchester United. Ni mchezaji mpya aliyesajiliwa majira haya ya joto hivi.

Mchezaji huyo ameonekana akiwa karibu na aliyekuwa mpenzi wake na Chris Brown, Karrueche Tran. Wameonekana kwenye picha waliyopiga pamoja walipokutana huko Miami.

Depay anatarajiwa kujiunga rasmi na timu yake mpya mapema mwezi ujao.

Kupitia Instagram, mchezaji huyo alipost picha hiyo na Karruache na hakuandika caption yoyote. Mashabiki wengi wameonekana kuipenda japo wamemuonya juu ya Chris Brown.