DIAMOND Ampiga WEMA SEPETU Dongo Moja Kali Sana Baada ya Jina Lake Kukatwa Ubunge Viti Maalum - MULO ENTERTAINER

Latest

26 Jul 2015

DIAMOND Ampiga WEMA SEPETU Dongo Moja Kali Sana Baada ya Jina Lake Kukatwa Ubunge Viti Maalum

Kweli Mwanamuziki Diamond ni Mtoto wa Uswahili yaani akosi kitu kipite......
Hili ndio 'dongo' ambalo Diamond amtupia Wema Sepetu baada ya kushindwa uchaguzi wa viti maalum CCM.....

Hili ndogo ni la pili baada ya lile la kwanza alilompiga Jokate wakati alipopata tuzo ya MTV...
Je kuna ulazima Diamond Kufanya Hivyo ?
Toa Maoni yako Hapa chini: