Hapa Kuna Picha 5 Za Lowassa Na Mkewe Wakikabidhiwa Rasmi Kadi Za CHADEMA - MULO ENTERTAINER

Latest

28 Jul 2015

Hapa Kuna Picha 5 Za Lowassa Na Mkewe Wakikabidhiwa Rasmi Kadi Za CHADEMA


Mhe. Freeman Mbowe (katikati) kulia kwake ni Regina Lowassa (mke wa Lowassa) na kushoto kwake ni Edward Lowassa baada ya kukabidhiwa kadi cha Chadema.
4
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi,  James Mbatia akimpongeza Edward Lowassa punde baada ya kujiunga na CHADEMA chama kimojawapo kinachounda umoja wa UKAWA.
6
Mke wa Edward Lowassa, Regina Lowassa akikabidhiwa kadi ya CHADEMA na Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe.
5
Mwenyekiti wa CUF, Prof Ibrahim Lipumba akimpongeza Mhe. Edward Lowassa baada ya kujiunga na CHADEMA chama kimojawapo kinachounda umoja wa UKAWA.
3