LOWASSA Kwa Mdomo wake Atangaza Kuamia Chama cha Chadema...Adai CCM Sio Mama Wala Baba Yake - MULO ENTERTAINER

Latest

28 Jul 2015

LOWASSA Kwa Mdomo wake Atangaza Kuamia Chama cha Chadema...Adai CCM Sio Mama Wala Baba Yake

Wakati Huu Lowassa yupo Hewani ITV akiongea na Kusema CCM sio Baba Yake wala Mama Yake na Amehamia Chadema Kwani nia yake ya Kugombea Urais ipo paleplae Japo jina lake lilikatwa CCM, Adai Safari yake ya Matumaini Bado inaendelea....