Majibu ya Wema Sepetu Kwa Waliosema Siasa Imeingiliwa Baada ya Yeye Kutangaza Nia, Pia Aliyeigiza Sauti Yake - MULO ENTERTAINER

Latest

10 Jul 2015

Majibu ya Wema Sepetu Kwa Waliosema Siasa Imeingiliwa Baada ya Yeye Kutangaza Nia, Pia Aliyeigiza Sauti Yake

Mwigizaji Wema Sepetu alifanya Interview na mtangazaji Millard Ayo kuhusu ishu kadhaa zinazohusu kutangaza kwake kuingia kwenye siasa ambako anagombea viti maalum ambapo amejibu comments za watu waliombeza kwa kusema siasa imevamiwa, nafasi ya juu ya Uongozi aliyowahi kuitamani, aliyeigilizia sauti yake na mengine bonyeza play hapa chini.