Ney wa mitego afungiwa kujihusisha na muziki - MULO ENTERTAINER

Latest

28 Jul 2016

Ney wa mitego afungiwa kujihusisha na muziki


Rapa wa muziki wa kizazi kipya nchini Ney wa Mitego amefungiwa kujihusisha na muziki kwa kipindi kisichojulikana kufuatia wimbo wake alioutoa hivi karibuni.

Wimbo huo unaitwa ‘Pale kati patamu’.

Akizungumza Katibu Mtendaji wa Basata, Godfrey Mngereza amesema Ney anatakiwa pia kulipa faini ya Sh1 milioni.