Rais wa Marekani, Barack Obama yupo nchini Kenya kwa ziara ya kwanza ya rais wa Marekani aliyepo madarakani kuwahi kufanyika nchini humo.
Obama amefungua mkutano wa ujasiriamali wa dunia, GES asubuhi hii kwa salamu ya Sheng. “Niaje Wasee, Hawayuni,” aliwasamilia wajumbe wa mkutano huo waliomuangushia shangwe za kutosha.