Prof Mwandosya Afunguka: Jakaya Kikwete Alikuwa na Wagombea Wake Mfukoni Wakati wa Mchakato wa Kutafuta Mgombea CCM - MULO ENTERTAINER

Latest

30 Jul 2015

Prof Mwandosya Afunguka: Jakaya Kikwete Alikuwa na Wagombea Wake Mfukoni Wakati wa Mchakato wa Kutafuta Mgombea CCM

Waziri mwandamizi katika serikali J.K amemtuhumu bosi wake kuwa alikuwa na majina ya wagombea tano bora mfukoni mwake.Rais Kikwete,ndiye aliyeongoza kikao cha maadili cha CCM,kilichowakata akina EL,Mwanndosya,Pinda,Dr Bilal.