Shuhuda KITUKO CHA Rais Obama Alichokifanya Alivyoondoka Nchini Kenya - MULO ENTERTAINER

Latest

29 Jul 2015

Shuhuda KITUKO CHA Rais Obama Alichokifanya Alivyoondoka Nchini Kenya

RAIS wa Marekani, Barrack Obama alikamilisha ziara yake ya siku tatu nchini Kenya ambapo alifungua kongamano la kibiashara, akawahutubia Wakenya katika Uwanja wa Kasarani na baadaye kuzungumza na viongozi wa mashirika ya kijamii katika Chuo Kikuu cha Kenyatta. :