Ubunge Viti Maalum: Wakati Wema Sepetu Analia, Mwanamuzki Albino Keisha Anacheka - MULO ENTERTAINER

Latest

31 Jul 2015

Ubunge Viti Maalum: Wakati Wema Sepetu Analia, Mwanamuzki Albino Keisha Anacheka

Msanii Keisha ambae ni mlemavu wa ngozi ameshida kura za maoni ubunge viti maalum Dodoma, wakati Keisha akicheka msanii Wema Sepetu ameangukia pua uko Singida, kwa kukosa nafasi kama hiyo.