UPDATES:Ajali ya Gari Bunju iliyouwa Mwanafunzi wa Shule Yasababisha Wananchi Wachoma Kituo cha Polisi..Picha hizi Hapa - MULO ENTERTAINER

Latest

10 Jul 2015

UPDATES:Ajali ya Gari Bunju iliyouwa Mwanafunzi wa Shule Yasababisha Wananchi Wachoma Kituo cha Polisi..Picha hizi Hapa

Wananchi wamechoma moto Kituo cha Polisi Bunju 'A' na kusababisha Askari Kukimbia Kituo hicho cha Polisi, kwa ujumla hali haikuwa shwari  kwa Masaa manne hadi kusababisha Bara bara kufungwa kwa Muda....

Mahabusu waliokuwa ndani wametoka salama baada ya kufunguliwa na msamaria mwema