Breaking News: Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Fredrick Sumaye Amekihama Chama cha CCM na Kujiunga na Chadema - MULO ENTERTAINER

Latest

23 Aug 2015

Breaking News: Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Fredrick Sumaye Amekihama Chama cha CCM na Kujiunga na Chadema


Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa miaka 10 (1995 - 2005) akifanya kazi na Rais Mkapa, mhe. Fredrick Sumaye, anaiaga CCM na kujiunga UKAWA muda huu jijini Dar Es Salaam katika mkutano maalum wa UKAWA na vyombo vya habari.
Sumaye anakuwa waziri mkuu wa pili kujiunga UKAWA baada ya mwenzie Edward Lowassa kufanya hivyo. +255Kwanza
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI