Mbowe: Tumuombee Dr. Slaa kwa Mungu ampe moyo wa ujasiri! - MULO ENTERTAINER

Latest

4 Aug 2015

Mbowe: Tumuombee Dr. Slaa kwa Mungu ampe moyo wa ujasiri!

Mwenyekiti wa CHADEMA amewataka wanachama kumuombea kwa Mungu Dr. Slaa ampe moyo wa ujasiri katika kipindi hiki kigumu ambacho chama kinafanya mkutano wa kumpitisha mgombea wake wa urais!

Mbowe amesema Dr.Slaa hatashiriki katika mkutano huo kwa kuwa atakuwa kwenye mapumziko!

Hata hivyo Dr. Slaa bado ndiye Katibu Mkuu wa CHADEMA na ataendelea na kazi zake baada ya likizo yake!

Source:EA Radio