Ridhiwani Kikwete: Sasa Kumekucha.... Nikiangalia Hiki Kikosi Naamini Kabisa Kuna Chama Kitamficha Mgombea Wake Ndani - MULO ENTERTAINER

Latest

19 Aug 2015

Ridhiwani Kikwete: Sasa Kumekucha.... Nikiangalia Hiki Kikosi Naamini Kabisa Kuna Chama Kitamficha Mgombea Wake Ndani

Baada ya CCM Kutoa List ya Team Ambayo itahakikisha CCM inashinda Urais 2015 , Mtoto wa Rais Ridhiwani Kikwete Ameandika Meneno haya :

"Sasa kumekucha.... Nikiangalia hiki kikosi naamini kabisa kuna Chama kitamficha mgombea wake ndani ili wengine wafanye yale ya matumizi halali ya Madodoki ya Chuma .... Nani msiniulize. Huu ndiyo mziki wa Magufuli, sidhani kama Mtauweza"

Je Kwa Maoni yako ni Mgombea Yupi Atafichwa Ndani ? 

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI