Hali ni "TETE" CCM !Tetesi za wakongwe wa CCM kuhama chama na kujiunga na UPINZANI zaanza kunukia!Mafuriko ya Lowassa hayazuiliki.Sumaye na Bilali wanategemewa kufanya maamuzi magumu wakati ukifika.Tusubiri tuone! Read more