Baada ya Clouds FM Kumzengua Mtangazaji Maarufu Dina Marios, Sasa Ajiunga na Redio Pinzani EFM... - MULO ENTERTAINER

Latest

11 Aug 2015

Baada ya Clouds FM Kumzengua Mtangazaji Maarufu Dina Marios, Sasa Ajiunga na Redio Pinzani EFM...

Dina Marios Aliyekiwa Mtangazaji wa Kipindi cha Leo Tena Clouds FM Amepost Picha Akiwa Redio za EFM ikiwa na Maana tayari Ameshahama Redio Clouds Ambayo kwa sababu wanazozijua wao walimweka Bench kwa Muda Mrefu Kiasi cha Mwenyewe Kulalamika Kitendo hicho...

Dina Marios Ameandika Haya Katika Ukurasa wake wa Facebook na Kuambatanisha na Hiyo Picha Hapo Juu:

"I believe if you keep your faith, you keep your trust, you keep the right attitude, if you’re grateful, you’ll see God open up new doors.”
– Joel Osteen