Msafara wa Edward Lowassa Wazuiwa Muheza na Korogwe - MULO ENTERTAINER

Latest

29 Sept 2015

Msafara wa Edward Lowassa Wazuiwa Muheza na Korogwe

Msafara wa Mgombea wa Ukawa, Edward Lowassa umesimamishwa na maelfu ya watu Muheza..... Lowassa alikuwa anatoka Tanga... 

Umati wa watu ni mkubwa sana sana hapa Muheza.... 

Haijawahi kutokea


Kwa mtiririko huu nawaambia ndugu zangu - Lowassa ni RAIS. Nasema hivyo kwa sababu kama na Tanga, Dodoma na Morogoro wamegeuza upepo basi uchaguzi umeshaisha kabla haujaanza.