PICHA ya Lowassa Mgombea Urais wa Ukawa Yazua Gumzo Mtandaoni - MULO ENTERTAINER

Latest

15 Sept 2015

PICHA ya Lowassa Mgombea Urais wa Ukawa Yazua Gumzo Mtandaoni

Picha ya Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Mh. Lowassa akisaidiwa kupanda jukwaani Manyoni Singida kwenye kampeni zake za Urais, Huko Mitandaoni Kila Mmoja Ameongea lake..Je wewe Unasema Kuhusu Hii Picha ?