Utafiti wa TADIP Urais 2015 wampa Lowassa ushindi Lowassa kwa 54.5% dhidi ya Magufuli (40%) - MULO ENTERTAINER

Latest

26 Sept 2015

Utafiti wa TADIP Urais 2015 wampa Lowassa ushindi Lowassa kwa 54.5% dhidi ya Magufuli (40%)

 Utafiti wa TADIP Urais 2015 wampa Lowassa ushindi Lowassa kwa 54.5% dhidi ya Magufuli (40%)
Katika Utafiti huo uliosomwa Jana Mbele ya Waandishi wa Habari Pale Hotel ya Regency

Lowassa Ameongoza kwa Asilimia 54.5% , Magufuli 40%, Anna Mughwira 2%, Rashidi Rungwe 0.4%, Chief Yemba 0.1%, Sijui 3%