Wolper Atupa Dongo Upande wa Pili - MULO ENTERTAINER

Latest

23 Sept 2015

Wolper Atupa Dongo Upande wa Pili

Wolper Atupa Dongo Upande wa Pili
Haya ndiyo maneno ya aliypoyaandika staa wa Bongo Movies,‘Jacqueline Lowassa’ kwenye ukurasa wake wa instagram.
"Mama ongea na mwanao….Sasa mama kaongea na mimi nimemwambia nataka mabadiliko ..nimempa sababu zangu kwann nataka mabadiliko kwa manufaa yangu mimi na Taifa langu Mama kanielewa na ameungana na mimi kuchagua mabadiliko".
Bila shaka wanaofuatilia siasa za wanabongo movies hawa  watakuwa wamemuelewa