Alikiba aachia kionjo cha wimbo wake na Christian Bella ‘Nagharamia’ Kisikilize hapa - MULO ENTERTAINER

Latest

12 Oct 2015

Alikiba aachia kionjo cha wimbo wake na Christian Bella ‘Nagharamia’ Kisikilize hapa



Alikiba a.k.a King Kiba na Christian Bella a.k.a mfalme wa masauti wamekuwa wakitoa ahadi ya kufanya collabo kwa muda mrefu, na mashabiki wamekuwa na shauku ya kusikia kile kilichofanywa na wakali hao kwa kuzingatia uwezo mkubwa walionao.

‘Nagharamia’ ndio jina la wimbo huo ambao unatarajiwa kutoka hivi karibuni. Alikiba ameshare kionjo kidogo cha wimbo huo kwenye Instagram.

Miezi kadhaa iliyopita Bella alisema kuwa kazi hiyo itakuwa na utofauti mkubwa kwasababu amembadilisha sana 

Alikiba
.