Kingunge Kumnadi Lowassa Leo Arusha..Aomba Dakika 40 za Kumchana Chana Kikwete na CCM - MULO ENTERTAINER

Latest

8 Oct 2015

Kingunge Kumnadi Lowassa Leo Arusha..Aomba Dakika 40 za Kumchana Chana Kikwete na CCM

Aliyekuwa kada mkongwe wa CCM mwenye kadi namba 7, ameomba muda wa dakika 40 za kumchana chana raisi Kikwete kwenye mkutano wa kampeni utakaofanyika leo jijini Arusha.