LOWASSA Kavunja Rekodi Jijini Mwanza.......Haya Sio Marufiko, NI GHARIKA. Zaidi ya watu 50 Wamepoteza Fahamu - MULO ENTERTAINER

Latest

12 Oct 2015

LOWASSA Kavunja Rekodi Jijini Mwanza.......Haya Sio Marufiko, NI GHARIKA. Zaidi ya watu 50 Wamepoteza Fahamu


Lowassa  amelitikisa  jijini  la  Mwanza  jioni  hii  ambapo  mwandishi  wetu  ameshuhudia  zaidi  ya  watu 50  wakipoteza  fahamu  baada  ya  uwanja  huo  kujaa  kupita  uwezo  wake