Katika akaunti yake ya facebook Prof. Mark James Mwandosya ameandika:-
"Mitandao ya mawasiliano leo imesheheni tena taarifa za Profesa Mwandosya kuhama. Napenda kuwathibitishia ndugu, marafiki, na watanzania wenzangu, tena kwa ukweli kabisa, kwamba nahama, kutoka Dar es Salaam kwenda kijijini Lufilyo, Busokelo. Karibuni sana kijijini"-Prof. Mark James Mwandosya
1 Oct 2015
New
Prof. Mark James Mwandosya Atoa Kauli ya Kuhama...Anakukaribisha Anapohamia..Soma Hapa
mulo
UPDATE