TCRA Mbona Mnawachekelea Star TV? Sheria ni Kwa Kina Nani? - MULO ENTERTAINER

Latest

8 Oct 2015

TCRA Mbona Mnawachekelea Star TV? Sheria ni Kwa Kina Nani?

TCRA Mlitoa msimamo wenu kwamba hamtaruhusu chombo chochote cha habari kufanya interview na MTU yeyote asiyekua mwanachama wa chama flani kukisema chama kiingine? Uhalali wa Dr Slaa kukaa star TV kumtukana LOWASSA ni haki?

Dr Slaa anawakilisha chama gani star TV? Anazungumziaje Chama kisichomhusu? Kwani star TV nao wasimwite LOWASSA wawakutanishe wote wawili?

Huu ni uchochezi na lolote likitokea star TV hawawezi kusalimika! Uchochezi wao unezidi kiwango! LOWASSA anao wafuasi wengi nchi nzima, hivi wakiamua kuchukia kwa kile kinachofanywa na Dr Slaa itakuaje? Star TV Wanachochea uvunjifu wa Amani.