Tunatoa pole kwa Familia , Chama cha DP na Watanzania kwa ujumla kwa Kumpoteza Mchungaji Christopher Mtikila, Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa...Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi... Read more