"IKULU HAINA BAJETI YA MSIBA'' KATIBU CCM ILALA
RIP KATIBU
"BORA AMEONDOKA CCM AENDE TU AKAFIE HUKO UKAWA"
RIP CELINA KOMBANI
"LOWASA NI MGONJWA SANA HAFAI NI MAHUTUTI HAWEZI KUONGOZA NCHI"
RIP MCH MTIKILA
"LOWASSA NI MAITI INAYOTEMBEA"
BY NAPE NAWIE... HATUJUI NANI ATAFUATA NA NANI ATABAKI.
MUNGU NDIYE MJUA YOTE.
Mulo entertainer.