Model Maarufu Bongo Aibua Shutuma Nzito Kwenye Tasnia ya Mitindo..Adai Tasnia Imejaa Machoko ili Usonge Mbele ni Lazima Uwakaze - MULO ENTERTAINER

Latest

21 Nov 2015

Model Maarufu Bongo Aibua Shutuma Nzito Kwenye Tasnia ya Mitindo..Adai Tasnia Imejaa Machoko ili Usonge Mbele ni Lazima Uwakaze

Model wa Kiume Anayejulikana kama @calisah Huku Instagram Ameibuka na Tuhuma nzito iliyopo kwenye Tasnia hiyo ya Mitindo na Urembo ...

Ameandika Haya Kwenye Ukurasa Wake wa Instagram:

|Sikutaka kuandika chochote kuhusiana na tuzo za swahilifashionweek. Ila naamini waliopo kwenye category zote ndio waliostahili kuwepo...

Na naamjni waliangalia vigezo vyao na kuhisi pengine wao ndio waliostahili. Mtazamo wangu kwa upcoming models wote wanaotamani kesho na kesho kutwa kuja kua model km mimi au mwingine yeyote. Tambueni hii tasnia imeandamwa na machoko (gays) sasa basi...... hawa watu wanahisi wanauwezo wa kukontro models wake kwa kukidhi haja zao. Na ikiwa utaenda nao sawa bc watakutumia vizuri na watamtumia mtu mwingine yeyote mwenye muonekano mzuri kwakua wao wanajua kua ili usongee mbele ni lazima uwakaze. 

Na usipo wakaza utaanza kuona safari yako inaanza kua ngumu na watatafuta njia yeyote ili wakuzime na ikiwemo kutaka kupandisha watu juu ambao walikua hawapo kwenye hiyo level ili tu wakuoneshe kua wao wanapower. Kuna ma_disigner wengi sana ktk hii tasnia yetu. Msibabaike kwa vitisho na msikubali kuuza utu wenu ili mpate show au kuwepo kwenye award yoyote, mkifanye hivyo mtatumiwa na kuachwa na kisha wao kwenda kutafuta wengine, they always looking for what new. Sijakasirika kutokuwepo kwenye tuzo za swahilifashionweek or nah kwani nilijua muda mrefu kua siwezi kua huko na ndio maana hua sijishulishagi kwenda hata kwenye cast, na sijawahi kwenda kwenye cast yoyote ya swahilifashionweek tangu inaanza.

Cz I naw evrythng. ..... Models kama hamtakua makini mtaendea kutumiwa kwa kuafurahisha watu kila cku, sitaki na wala sitataka kua kua kwenye award yoyote na wala hakuna quma yeyote ninarmuogopa cz hakuna anaenipa hela ya kula kati yenu nyote, taftani hao models wenye njaa.... wawakaze halafu ndio muwape tuzo zenu, "Ushauri wangu kwa models wengine ambao wamekua_dissaponted. Tulieniii..... tengenezeni portfolio zenu nzuri na mtafute kazi nje ya nchi.... tuige mfano kwa @daxx_cruz @flavianamatata na wengine waliotangulia... mkibaki hivyo hamtafkia kokote kwa kutegemea wakina @martinkadindaofficial na kina @mustafahasanali they got nothing to help u... Hakuna yeyote kati yao mwenye uwezo wakukuangusha ikiwa utajiweka vizuri na kufokas soko la mbele. Msikubali kubaika na kuuza utu wako ili mpate jina bila ya hela|  Calisah