Waziri Mkuu Mpya Aanza Kumwaga Cheche..Aitaka TAMISEMI Kujieleza Kwanini Mabasi Yaendayo Kasi Hayajaanza Kufanya Kazi - MULO ENTERTAINER

Latest

24 Nov 2015

Waziri Mkuu Mpya Aanza Kumwaga Cheche..Aitaka TAMISEMI Kujieleza Kwanini Mabasi Yaendayo Kasi Hayajaanza Kufanya Kazi

Waziri Mkuu Mh.Majaliwa ameitaka TAMISEMI kujieleza ni kwanini mradi wa mabasi yaendayo kasi DART haujaanza hadi sasa.

Ameagiza watendaji wote wa wizara ya TAMISEMI, akiwemo Katibu Mkuu wa Wizara ya TAMISEMI kufika Ofisini kwake kesho asubuhi kueleza kwa nini mabasi hajaanzana kazi wakati miundombinu imeshakamilika.

Ameyasema hayo leo alipotembelea Wizara ya TAMISEMI na kuongea na watendaji wa wizara hiyo.

TAZAMA VIDEO: