Waziri wa Fedha ndie kila kitu.....Magufuli akichemsha hili...baasi - MULO ENTERTAINER

Latest

6 Nov 2015

Waziri wa Fedha ndie kila kitu.....Magufuli akichemsha hili...baasi

Watu wengi wanajiuliza waziri mkuu atakuwa nani..
Ukweli utawala wowote Waziri wa Fedha ndio kila kitu

ndie atakae run the economy.....na mipango na najeti zote kupitia kwake..

Binafsi niko curious kujua nani Magufuli atamteua awe waziri wa Fedha

nikishajua nani na ana sifa zipi ndio ntajua utawala wa Magufuli utafanikiwa au la...

Waziri mkuu sio muhimu kama waziri wa Fedha.....kosa kubwa la Kikwete lilikuwa hapa

kutwa alichagua marafiki au wanasiasa to run the economy.....
je Magufuli atakua tofauti?

Mnaomtaja Mwigulu Nchemba mnachekesha sana...Mwigulu anafaa kuwa waziri wa mambo ya ndani

To run the economy ni very serious task....